Dedicated to all women: Without you, we are nothing...

Katika kila mafanikio ya mwanaume,kuna mwanamke nyuma yake;-kweli sii kweli??''happy woman day.''
 
Asante kwa upendo wenu
naomba muendele kutupenda mwanzo mwisho
 
Asanteni sana kwa dedication kwani nyie kina baba mmekuwa mchango mkubwa katika maisha yetu ya kila siku
Tutaendelea kuwa kuwa kina mama wema ,wenye mapenzi tele kwa family ,jamii na wale wote wanaotuzunguka.
Naenda ku-volunteer mambo ya kijamii leo tuonane baadae ..
Cheers
 

Agreed 199%
 
Unanifanya damu isisimke kwa furaha! Believe me, If you make women feel good about themselves, they will feel good about you.
Waaaaoooh!
Hii ni moja kati ya sentenso nzuri kabisa kwa viwango, niliyopata kuisikia katika mwaka huu!...Naomba uniruhusu niikopi na kuwatumia wababa wenzangu!
 

Lovely
 
Thanks MTM na Babu Asprin kwa maneno yenu mazuri na yenye kutia moyo, yaani nimejisikia raha sana moyoni mwangu baada ya kuwasoma, mbarikiwe na mjaaliwe miaka mingi ili tuendelee kuwasikia
 
basi na tuendeleze upendo huu kwa maneno, mawazo na vitendo....
 
nimekosa maneno ya kusema hapa..but let me just say happy women day! we luv u more than u can ever imagine
 
Na mimi naungana na wana JF kuwaambia wanawake wote kua tunawapenda sana sana...kama alivyosema babu, without you dunia ingekua Jehanam!!
Na alaaniwe yule amtukanae mwanamke!!
 
Na mimi naungana na wana JF kuwaambia wanawake wote kua tunawapenda sana sana...kama alivyosema babu, without you dunia ingekua Jehanam!!
Na alaaniwe yule amtukanae mwanamke!!
Aisee Kimey na yule kule wa Loliondo umemtakia HAPPY WOMENS DAY
 
kwenye bold hapo, Aspirin una mambo!
 
Na mimi naungana na wana JF kuwaambia wanawake wote kua tunawapenda sana sana...kama alivyosema babu, without you dunia ingekua Jehanam!!
Na alaaniwe yule amtukanae mwanamke!!
na abarikiwe yule ampaye mwanamke faraja
 
On the way down, a touch from a woman will turn things around....
On the way up, a touch from woman will give us accelaration.....and take us further.....
In the time of pain and agony, a touch of woman will do the Loliondo trick....
Love you woman...love all women!
MTM asante kwa kutukumbusha siku hii muhimu.....my 4000th post is dedicated to these wonderful creatures...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…