AMEN!!!It is a good medicine.....i i love it because i love it and i also love the company men gives when watching or discussing soccer.....i like the support when we loose or win..........i love soccer because of the warmth that it brings to our hearts and the fact that we are not alone,in soccer you will never be alone....there are always people to cry with and smile with.....i wish more women could love soccer....its just great!!!
AMEN!!!
what a great feeling... they say that, women who watch and love soccer are very romantic, and i know its true!!
Aisee age mate, umeniwahi haka kakitu.
Nami naungana nawe kwenye hako kadedikesheni.
Hii dunia bila hawa viumbe, si sehemu tamu ya kuishi.
Nikimwangalia my dear mama, anavyonionea huruma navyokuwa katika matatizo, my dear wife anavyonidekeza pamoja na ubaradhuli na ulevi wangu, vibinti vyangu vinavyonisifia japo siujui wema naowatendea ukilinganisha na mama yao. Mabinti/wamama/wadada wa JF wanavyoniondolea mastress ya mkoloni wangu kwa thread na posts zao zenye akili........ Hawa watu wanawake waacheni waitwe wanawake.
Na hapo sijawataja kina Eliza wanavyonihudumia bia kwa upendo.........
Nawapendeni Wanawake Woooote. Mungu awabariki. Bila Nyie wallahi dunia ingekuwa jehanamu ya pili. Naamini Jehenamu hakuna wanawake....Thats why sitaki kwenda huko!
Damn.......Eliza hebu leta Guiness ya Baridi fasta!
ujumbe mzito sana huuAsprin, there is no way u can find words to explain what our beloved wives/mothers/daughters do to us ... its impossible!! Upendo wao hauna masharti wala kipimo ... kwa kweli Mungu na aendelee kuwabariki hawa wamama wa watoto zetu, mama zetu, na mabinti zetu!! na sie wanaume tuache kuwatenda wake/mama/ na mabinti zetu!!
Kwa wanawake wote, kwanza hongereni kwa siku hii muhimu, nawapenda wote...kama si ninyi sijui na huu uanaume tungeupata wapi?
Asanteni sana wababa na wakaka wote, jamani mtupende hivihvi siku zote, si mnajua tunajisikia vizuri tukipendwa...lol!.
Nami nawapenda, bila nyie nani angetupa tabasamu kwenye nyuso zetu! THANK YOU & BE BLESSED!
Kwa wamama na wadada wenzangu; Mungu awabariki kwa yote mnayofanya, love you all. Hebu furahieni pamoja nami huu wimbo hapa:
swali zuri sana dear....thank you!!!
Thanks Keren! you are so lovely!
the most important thing ni upendo wa kudumu wa maneno, na matendo, but its is very difficult aisee... but we can at least treat each other with humility and respect
yaani mkulu leo hata nyumbani sitoki nipo naye jicho kwa jicho, bega kwa bega mkono kwa mkono mguu kwa mguu....lakini kama alivosema Asprin kabla hii haiondoi wala haipunguzi kwa namna yeyote umuhimu na upendo wa wale wengine wanaotufanya tuwe na furaha kwa namna moja ama nyingine ...kuna hapa Jamvini, hasswa hapa MMU, kuna kila Eliza and co, kuna colleagues at work, kuna mfanya usafi ofisini au hata wale ambao ni road cleaners, kuna soulmates, you mentione them
To all, much love and respect