TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Wanajanvi,
Najua of late tumekua kimtindo sana na haya mambo ya election primaries yamechukua nafasi kwa baadhi yetu... presha zilipanda, kushuka, tukachemka na hata kuongea pumba.. its njot bad hasa ukizingatia bila pumba mchele unakosa thamani
Now, this idea has been in my mind since i joined JF, i wanted to salute the "living legends" - watu wanaotu-inspire, correct, challenge and love but for a good course
JE UNAWEZA KUENDELEZA HII THREAD KWA KUWAPA BIG UP UNAODHANI WANASTAHILI?

- Generally kwenye social na starehe huwa namwangalia mzee kama King Kiki as a model kutokana na his humbleness ambayo ni tofauti sana na wakongo wengi, he is modest talented yet a humbe person
- Kwenye sports nimekua nikisoma taarifa za watu kama Essien, Gabriesellassie nk na kuvutiwa na jinsi wanavyosaidia na kuheshimika kwao
- Nikija kwenye mambo ya taaluma huwa naadmire sana kazi za Covey [vitabu kwani hunisaidia hata kwenye general management na kazi nyingine
- Nafarijika sana kusoma articles za Jenerali Ulimwengu pia na busara za pdre Karugendo