Dedication

Dedication

Alkanjir

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
202
Reaction score
518
Sili nikashiba, nikikukumbuka, Hula haba, na kushikashika, Ni chozi za huba, kweli nasumbuka.

Meniondokeya, wangu mahabuba, Nilikuzoweya, kwa yako mahaba, Nnajikondeya, sili nikashiba.”
 
Mkuu vipi, umetoswa au shemeji yetu ametangulia??
 
Nataman arudii kwangu Ila kumwambia nashindwa..!!!!
 
Sili nikashiba, nikikukumbuka, Hula haba, na kushikashika, Ni chozi za huba, kweli nasumbuka.

Meniondokeya, wangu mahabuba, Nilikuzoweya, kwa yako mahaba, Nnajikondeya, sili nikashiba.”
mazowea tu hayo ndugu,yatapita..ila natamani sana kutokwa chozi la talaka..tatizo nimekua sugu
 
23c02db4b324b2cf325ab5ee92700f91.jpg
 
Back
Top Bottom