Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Acha uzushi. Yaani kanchi kama Kenya kanakotegemea watalii toka Marekani ndiyo Rais wake aseme Dollar haiaminiki!!Sio itapata msukosuko ila tayari USD ipo kwenye Msukosuko kamili,, Hata Rutho wa Kenya kasema USD sio sarafu ya kuaminika tena,,!
Hili bandiko lako umekusudia nini??DEVALUATION OF THE DOLLAR.
Under the Bretton woods system established after World war II, the value of gold was fixed to $ 35 per ounce, and the value of the U.S. dollar was thus anchored to the value of gold. Rising government spending in the 1960s, however, led to doubts about the ability of the United States to maintain this convertibility, gold stocks dwindled as banks and international investors began to convert dollar to gold, as a result, the value of the dollar began to decline. Facing an emerging currency crisis and the imminent that the United States would no longer be able to redeem dollars for gold, gold convertibility was finally terminated in 1971 by President Nixon, resulting in
Mbadala wa USD ni nini?Sio itapata msukosuko ila tayari USD ipo kwenye Msukosuko kamili,, Hata Rutho wa Kenya kasema USD sio sarafu ya kuaminika tena,,!
Unajua Kenya inadaiwa kiasi gani kwa USD?Sio itapata msukosuko ila tayari USD ipo kwenye Msukosuko kamili,, Hata Rutho wa Kenya kasema USD sio sarafu ya kuaminika tena,,!
Mimi nachojiuliza labda tuseme Saudia aseme anaachana na USD ina maana inambidi kwenye akiba yake awe na fedha za nchi zote duniani ili aweze kufanya nazo bihashara?
Pia najiuliza ile sababu iliyopelekea nchi zote kukubaliana kutumia USD kama kipimo cha thamani ya pesa zote imeshatatuliwa? Na ilikuwa ni ipi?
Mwisho, kama ili jambo ni tishio kwa usitawi wa taifa la marekani mbona serikali yao imekaaa kimya wala sisikii ikipambana lisitokee au wanajua haliwezekani au wao ndiyo wako nyuma ya ilo jambo na wana plan zao wanazozijua wenyewe?
Kunamnufaisha kwa kuwa anaweza chapisha tu madola na akaja kununua pamba tanzania, mafuta libya na kahawa uganda lakini wewe huwezi fanya hivyoSijui uwa ninawaza kijinga ama lah.
China ni number 2 kwa uchumi duniani. ,imefika katika hiyo nafasi si kwasababu pesa yake Yuen bali kwasababu uzalishalishaji mkubwa na exporting . Sasa ikiwa China imefika hapo ilipo si kwasababu ya pesa yake Yuen why tudhani US yuko hapo kwasababu ya dola yake?
.
Ama nchi inapofanya manunuzi yake kwa dola kuna commission US inapewa kutokana na manunuzi hayo hata tuseme kuwa commission hiyo ndiyo inakuza uchumi wa Us?.
Ikiwa sio, why tudhani Marekani inahitaki dola ili kuendelea kuwa domenant ili kuwa hapo ilipo at the same time tunaamini China haikuhitaji na haiitaji Yuen kuwa pesa ya kibiashara ili kuwa hapo ilipo ama kuivuka US?.
So, kuachana na Dola haifanyi Burundi kuwa Riyadh ama Miami kuwa kama Kibiti coz marekani haikupandishwa na Dola hadi kuwa hapo bali umiliki wa tech, viwanda etc.
Even if you decide to abandon the dollar you will still see the Shege until you do the needful and accordingly.
gain nyingi za kuachana na dola ni za kisiasa zaidi na wanufaika ni wanasiasa zaidi.