Hata France?! Mambo si mambo tena.BREAKING: China and France have completed their first LNG gas trade using the Chinese Yuan
Ndo hivyo mkuu. China is something else broHata France?! Mambo si mambo tena.
Hili ni pigo kubwa kwa Marekani kwa sababu Brazil ndio nchi yenye uchumi mkubwa pale Latin America.Brazil, China strike trade deal agreement to ditch US dollar
Bradford Betz
Thu, March 30, 2023 at 3:56 AM GMT+3
Brazil and China have reportedly struck a deal to ditch the U.S. dollar in favor of their own currencies in trade transactions.
The deal, announced Wednesday, will enable China and Brazil to carry out trade and financial transactions directly, exchanging yuan for reais – or vice versa – rather than first converting their currencies to the U.S. dollar.
Ruto ndio S.I unit la anguko la dola?[emoji3061]Sio itapata msukosuko ila tayari USD ipo kwenye Msukosuko kamili,, Hata Rutho wa Kenya kasema USD sio sarafu ya kuaminika tena,,!
Kwanini waiangushe USSwift Vs Cips
Patamu hapo....Ulimwengu ukitaka uiangushe USA hauna budi kuiangusha dollar kwa kukataa kununua mafuta kwa kutumia US dollar.
Bila ya petrodollar agreement ya mwaka 1974. , leo hii taifa la marekani lingekuwa hohehahe ila kwasababu viongozi(vibaraka wa marekani) wa waarabu ni wajinga na wanataka wapewe ulinzi ili wasipinduliwe madarkani walikubali kuwa USD iwe ndio pesa watu watakayonunulia mafuta.
Alizungumza lini? Na hao wafanyabiashara walikuja kabla,au baada ya tangazo?Sasa kama Ruto alizungumza huo ujinga mbona wafanyabiashara wa Kenya mwezi huu tu wamekimbilia Tanzania kuzitafuta USD??