Wadau sample ya document moja ya kisheria inaitwa " deed of partnership". Naomba sana mwenye sample ya hii document anitumie kupitia e mail hii, lwitikok@gmail.com
Hata ma lawyers kuna wakati hizi document hawa draft wenyewe starting from the scratch . utakuta wana edit sample. Legal drafting ni jambo zuri lakini kuna suala la ku save time wadau