Una tsh ngapi kwani??Duh! Lipo vizuri kwa kazi yangu lingenifaa ila tatizo hela
Mwambie akukodisheDuh! Lipo vizuri kwa kazi yangu lingenifaa ila tatizo hela
Ubovu si sababu pekee ya kuuza mali iliyotumika.Kwanini unauza?
Maana mwafrika akinunua kitu kibovu anauzia wenzake wakati ni dhambi.
Allah kariim