deep frier za chips zunauzwa litre 6 kila moja

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
439
hizi deep frier za chips zinauzwa kila moja ni 130,000

zipo mbili....nimezitumia muda mfupi kiasj kwamba na karatasi nimebandua jana wakati naziosha

naziuza sababu nimebadirisha biashara

0744597493
napatikana Dar es salaam
tukielewana bei utaletewa mpaka mlangoni


 
Weka picha halisi zilivyo sasa...achana na hizi picha za kudownload.
 
Zipo poa utauza, hivi dukani zinauzwaje tufanye ulinganisho ili tukulalie mkuu
 
Bado mpya kabisa hizi hapa hakuna cha kukiongeza zaidi ni kwa muhitaji anunue chap kabla hajachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…