Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Nimekuwa nikiwaza usiku na mchana kuhusu "Deep State" nikijiuliza hivi ni nini hasa?
Kwangu mimi Deep State ni kikundi cha wahuni ambacho kinaincontrol Serikali kuu, Deep state linaundwa na wafanyabiashara wakubwa kama wa mafuta, siraha, madawa ya kulevya pia huwa lina viongozi wastaafu ambao wanamiliki biashara zao nawao ama wakuwa madalali wa wafanya biashara wa nje.
Wewe unaelewa nini kuhusu Deep State? tujuze hapa! Je! Tanzania kuna Deep State?