Kwakifupi ni wahuniHakuna cha deep state wala shallow state.
Huu ni ujinga wa vijana wadogo kupewa kazi Usalama Taifa. Wakivimbiwa beer wanaanza kudanganya watu ujinga wao wa deep state na mashuzi yake.
In reality kinachodhaniwa ni mfano wa hao wenye sifa zinazotajwa kuwa za 'deep state' ni wale wazee wajanja wajanja kina Makamba na Kikwete waliojimilikisha mamlaka ya nchi na kutupangia wa kuongoza ili kulinda maslahi yao.
Hivyo kwa kifupi, deep state ni wanasiasa waliowazidi wenzao ujanja wa kuweza kuwa na kauli na mambo ya uendashaji wa nchi.
Kijana Mzee anaitwa nani?Sio watu cheap hivoo... ni watunza misingi ya taifa, ndo maana unalala usingizi na kufanya shughuli zako bila shida ujue wao wameamua iwe hivo, wakiamua pasikalike hata humu hutaingia, wape heshima yao wakiongozwa na kijana mzee mr born town mtu na nusu, mtu tajiri, mbabe wa washamba kutoka bush..... salute kwako mzee
Yule mstaafu anae cheka chekaKijana Mzee anaitwa nani?