Deeply in love!

misorgenes

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Jaman wana MMU nataka kushare na nyie furaha nilionayo, nmezama kwenye mapenzi n thnx to God ninaye mpenda na yeye ananipenda pia. Natamani na kutaka penzi letu lidumu!!
 
Afadhali we umeanza mbali kjtutaarifu!

Hongera mwaya....au kaka!
 
Moso hongera sana I understand the feeling. We are sailing on the same boat mydia mh mh mh! Oh what a feeling!!! Mungu atakujaalia litadumu ili mradi usilichukulie for granted, nurture it
 
Hongera sana,furhi na ujidai ukimpata unaye endana naye,maana dunia ya leo ni vigumu sana kumpata anayekupenda kwa dhati.Hongera
 
dah!hongera thanaaaa,hope mtakuwa hapy 4eve km usemavyo bt rem kumkabidh mungu awasimamie daima.
 
Hongera sana kwa hisia hizo,kuna watu hawajui kupenda hata raha ya kupenda na kupendwa hawaijui.Kama Mungu amekujalia hilo,mtangulize ili akupe mwongozo.
 
Jaman wana MMU nataka kushare na nyie furaha nilionayo, nmezama kwenye mapenzi n thnx to God ninaye mpenda na yeye ananipenda pia. Natamani na kutaka penzi letu lidumu!!

Hongera sana lakini kumbuka pia kujua anayekupenda kwa dhati ni ngumu kwani yataka muda kuona matendo..lakini kumbuka kuomba Mungu iwe hivyo na furaha yako idumu milele..
 
Hongera sana ila mkumbuke Mungu daima ili shetani asipate nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…