Mungu wangu huyu mgonjwa huyu
Yaani akili yangu yoote,nlidhani defao kasimama na mwanamke.kumbe huyo mwanamke ndio defao mwenyewe!!!!
Nasikia wanasema ni..., maana kazidi kujitengeneza kikike mno
Mbona kama katuni vile
Kazeeka now Defao, kawa babu, anajisiliba tu mapoda anakuwa kama sanamu
Hayo yote si afadhali kageuka kaa mzimu, vipodozi na zile sindano za kubadili rangi activators zake zimexpire matokeo yake ndio hayo
hahaha! eti maria rozaBacongo na mkorogo nomaaaa :glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Mbona nasikia at aliolewa ufaransa
Ndiyo kwanza namskia leo
Usije mjini
Yaani akili yangu yoote,nlidhani defao kasimama na mwanamke.kumbe huyo mwanamke ndio defao mwenyewe!!!!
Hahahaha kwa mkorogo huo atakuwa tayar kashaachika maana utadhan nsyuka.