Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
Wana JF naamini ndani ya jukwaa la sheria nitapata msaada wa hili neno "Defence Alibi" maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niutetezi anao weza kuutumia mtuhumiwa kuonesha kua hakuwepo kwenye eneo la tukio siku na mda lilipo tokea. Kwamfano tukio limetokea Da,r Jun 2 saa 2:28 mtuhumiwa anaweza kujitetea kupitia defence of Alibai kwa kuonesha eidha tiketi ya Ndege au Gari itakayo thibitisha kua Jun 2 saa 2:28 alikua sehemu nyingine. Kwa mfano Mbeya au Tanga, pia anaweza kuonesha Viza ambayo inaonesha alikua nje ya nchi siku na mda ambao tukio lilitokea.