Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
Niutetezi anao weza kuutumia mtuhumiwa kuonesha kua hakuwepo kwenye eneo la tukio siku na mda lilipo tokea. Kwamfano tukio limetokea Da,r Jun 2 saa 2:28 mtuhumiwa anaweza kujitetea kupitia defence of Alibai kwa kuonesha eidha tiketi ya Ndege au Gari itakayo thibitisha kua Jun 2 saa 2:28 alikua sehemu nyingine. Kwa mfano Mbeya au Tanga, pia anaweza kuonesha Viza ambayo inaonesha alikua nje ya nchi siku na mda ambao tukio lilitokea.