Nmesoma kimawenge sijaonaUna uhakika hakuna alisema hivyo? Hebu pitia comment za wadau!
Hayo mawege yametoka wapi Inna?Nmesoma kimawenge sijaona
MvinyooHayo mawege yametoka wapi Inna?
Ndo unavofanyaga kumbeeMchepuko ni vizuri akakaa siti ya nyuma kwa usalama wa ndoa
Huo upuuzi na ww unatumia?Mvinyoo
4: Acha mita 2 au zaidi kati ya gari yako na gari ya mwenzako
unapoendesha gari yako.
5: Sima ukatizapo kivuko cha waenda kwa miguu.
NdioHuo upuuzi na ww unatumia?
Usishindane na gari linalotaka kukupita,hata kama dereva huyo anakupita kimakosa.Andika chochote ukijuacho kuhusu defensive driving.
Mimi naanza na hii;
1. Fanya ukaguzi wa gari kabla hujaanza safari yeyote.
2. Heshimu speed limit.
3. Ata kama ni haki yako kupita jiridhishe kwanza kabla haujapita hasa maeneo ya junction na kwenye taa au mzunguko (round about).
4..............
5...........
6.............
Hii tabia sijui kama ninaweza chomoka aiseeeee......11. Usiendeshe gari ukiwa umelewa
4: Acha mita 2 au zaidi kati ya gari yako na gari ya mwenzako
unapoendesha gari yako.
5: Sima ukatizapo kivuko cha waenda kwa miguu.
Safe drive ina require walau meter 5Mmmmh mkuu mita 2?!!...mbona naona kama ndogo sana... mita 2 kati ya gari na gari hapo sio defensive drive mkuu..hio itakuwa Attacking drive 😀
Mkuu, ili tukuwe salama..... hatushauriwi kuendesha kwa kutaka maonyesho/sifaKwa madereva wajuaji wa Dar, ukiacha hiyo mita 2, mtu anachomeka gari yake, ukiacha tatu anaona we ni learner.
Inawezekana, ila mara nyingi ukiwa kwenye High way, hasa unapokuwa nyuma ya malori......waendesha Auto hawawezi kukuelewa.
hii haijalishi mtu anapita mkuu...Hiyo namba 5 inatakiwa usimame tu au usimame kukiwa na mtu anataka kuvuka?
una mahusiano mazuri na ajali aiseeeee......[emoji45] [emoji45]Hii kwangu ngumu sana.
Hili ni tatizo kubwa sana kwa madereva wa kitanzania, hawazimi taa tena zinakuwa ziko kwenye fullUkisimamisha gari wakati wa giza pembeni mwa barabara zima taa za mbele na kama ni highway washa taa za hazard