Mtoto: Eti baba mwanaume ni nani?
Baba: Mwanaume ni mtu anayeijali familia yake, anahakikisha wanapata mahitaji ya msingi na anailinda vyema
Mtoto: Nikiwa mkubwa nataka niwe mwanaume kama mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]