mkadiriajimajenzi JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 549 Reaction score 614 Jan 4, 2017 #1 Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu mradi huu wa NSSF upigwe stop, tayari ulishagharimu mapesa mengi mpaka hapo ulipofika lakini umeishia kuhifadhi panya, nyoka na kenge, Nini hatma yake? Lini utakuwa resumed au ndo mpaka uchunguzi ukamilike?
Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu mradi huu wa NSSF upigwe stop, tayari ulishagharimu mapesa mengi mpaka hapo ulipofika lakini umeishia kuhifadhi panya, nyoka na kenge, Nini hatma yake? Lini utakuwa resumed au ndo mpaka uchunguzi ukamilike?