DEGREE MOJA YA ENGINEERING Medine n law

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
TuKATAE TUKUBALI UGUMU WA HIZI TAALUMa ZA ENGINEERING ,LAW NA MEDICINE HUWEZI KUFANANISHA NA TAALUMA ZA AJABU AJABU KAMA HUMANRESOURCE ,SOCILOGY, MASSCOMM, NDO MAANA NASEMA BACHELOR YA ENGINEERING,MEDICINE,NA LAW NI SAWA NA PhD YA SOCIOLOGY, HUMAN RESOURCE ,MASSCOM N.K
 
Yani we una mambo ya kishamba na kipumbavu,posts zako zote zimekaa kichawichawi tu..mtu mwenyewe uko chuo cha kata,bt kutwa unaponda kozi za wenzio,we unadhani kusoma hyo procurement hapo muccobs ndo umeyamaliza maisha?hao hao waliosoma kozi za ajabu ajabu kama unavyoziita ndo watakuja kuwa mabosi wako.
 

kwa nini uponde wenzako hivyo?, sio rais watu wote kusoma medicne,engin au law.
 


hizo ni kozi tofauti kabisa huwezi linganisha kiivyo,degree itabaki kuwa degree na phd itabaki kuwa phd bila kujali kozi gani umesoma.
module ya pathology in medicine inaweza kulingana na kozi yote ya socilogy,lakini bado medicine itabaki kuwa medic na socilology itabaki kuwa sociology.
 
aisee, hv mtoa mada we umesoma course gan?
 
Nilipokuwa ninasoma BSc Nursing, tulikuwa na module ya drug calculations, basi library tunapractice watu wa engineering walikuwa wanatuambia si tukanywe bia tu kuliko kupoteza muda kwenye hesabu za kujumlisha na kutoa!!
 

umenipa raha sana MKUU then hapo uko sahii kabisa ningekua natumia top ningekupa like saba hivi
 
Sasa hyo hr ndo bosi wenu sasa kunamaa hapo!
 
sasa hyo hr ndo bosi wenu sasa kunamaa hapo!

hivi kozi ys hr ndo nini uzembe mtupuuuuu hata mimi lawyer naweza kuwa manager "!kozi ya hr ni rahisi sana unaweza hata ukajifungia ndani ukasoma
 
Kwa mfano, kama hesabu zinakupiga chenga taka usitake Engineering huwezi kamwe. Japo degree ni degree kweli ila ukweli unauma law,engineering na medicine ni tough jaman. Ndiyo maana ukimaliza kozi hizo kuna body za kuidhinisha kama vile ERB etc. Nami niseme tu muanzisha uzi amenikuna
 
Hivi hii dunia wa maana na wanafanya maajabu katika maisha ni hawa mliowataja tu? Yaaani waliosoma engendering, law na medicine? Ucheni umbululu kozi zote duniani zina mchango mkubwa katika kuiendeleza dunia na kuifanya hii dunia kuwa kama ilivyo. Mliishawahi kufikiri umuhimu wa kozi za biashara hapa duniani especially hiyo HR uliyoipondo we mleta maada? Ualimu ndo baba yao! Bila kozi za ualimu we mwenyewe usingejua kutoa mapovu kama ulivyofanya kwenye huo uzi wako?
Kuna vitu vya kujadili kwa maslahi ya taifa letu lakini siyo huu umbululu iliouleta hapa jamvini.
Grow up ndugu yangu, usiwe kama mbuyuwani.
 

mkuu nashukuru kwa kuliona hilo
 

absolutely umeonyesha intellectual immaturity yako. dunia hii ina division of labour since then. hii maana yake ni kwamba engineer atakuwa spanner boy whereas doctor ataendelea kufungua miili ya binadamu wakati watu waliosoma HR watasimamia utumishi ili shughuli ziende vizuri unasikitisha kwa kudhani wewe ni bora kuliko wengine wakati ukweli ni kwamba shahada nyingi za engineering zinaishia kwenye ukarani wa benki. siku hizi utakuta waliosoma sheria ni relationship officers kwenye mabenki na mengi mengineyo. ubora wa shahada hizo uko huko huko vyuoni tu. ukifika huku mtaani unakuwa wa kawaida sana tena unaweza kuwa wachini kuliko ulivyotarajia. mafanikio katika maisha hayatokani na kusoma degree ya aina gani bali no namna ulivyochanga karata zako na Mungu kakujaalia riziki yake. Ndio maana pamoja na degree za nguvu bado wanasheria, wahandisi, hata madaktari wapo chini ya mabosi waliosoma degree za kishenzi na wanatii amri zao. hivyo kama uko chuoni sasa ujue kuwa shahada haimaanishi kitu chochote katika mafanikio ya kimaisha. jitambue usidharau taaluma za wengine. inawezekana hata baba yako ana degree za kishenzi aug hana kabisa
 

wewe ndo mbulula unayesoma socilogy
 
mkuu nashukuru kwa kuliona hilo

Kwa nch zetu hz tu. Kwamba eng au doctor atashika spanner wakati hr anaongoza
Ila kwa nch za watu wataalam wanaofanya vitu vinavyoonekana kwa macho bado ni majembe. Hr na mengine yana umuhim sawa lakini ukipima mizania NEVER nasema NEVER haiwez kuwa sawa na kozi kama utabib, uhandisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…