Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

Kwenye nchi za ******* km Tanzania ya Sasa kusoma sio dili

Najuta miaka yangu niliyopoteza darasni Bora ningepambana mapema niingie civilized country
 
Mkuu, Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) from SUA mbona haipo..? Inawezekana huijui SUA ila siku Moja pita Mitaa ya SUA pale Moro then uliza kuhusu Hiyo program. Japo SUA yote ni kwa moto kwa Kila Pgrm ila hiyo ni moto
 
Madogo hamuoni nyuzi za madokita wanalilia njaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€na bado mnataka kusomea sifa.

Mkimaliza kusoma hayo makitu magumu.Tunasubiri kusoma nyuzi zenu mkiwa mnabubujikwa na machozi.

Wenzenu wamejilipua wako mgodini huko,maisha ni zaidi ya salary.Acheni uvivu wa kufikiria.
 
Mkuu, Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) from SUA mbona haipo..? Inawezekana huijui SUA ila siku Moja pita Mitaa ya SUA pale Moro then uliza kuhusu Hiyo program. Japo SUA yote ni kwa moto kwa Kila Pgrm ila hiyo ni moto
Nchii hii wasomi ndio wajinga na moja.Wanakazi ya kusifia kozi flani ngumuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yaani wenzetu wanapambana msomi akigraduate akaitendee haki fani yake ila mitanzania ikigraduate inasifia ujingaujinga.Maprofesa wenyewe vilaza tu hakuna chochote wamefanyia hii nchi at all.

Hiyo SUA ukiuliza imeisaidiaje hii nchi zaidi ya kuzalisha viduka vya AGROVET kila mtaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Waafrika ni laana!!!
 
Duniani kote fani ni tatu tu tangu enzi na enzi.
1. Law
2. Medicine
3. Engineering.
Nyingine zote ni zao la hizo hapo.
 
Hivi kuna degree ngumu kama Petroleum?
Kwenye Petroleum = Advanced Physics + Advanced Mathematics + Advanced Chemistry + Geology
 
Acha dharau basi.. kwanza sijui ni nini kinakufurahisha hadi unachekacheka hovyo
 
Acha dharau basi.. kwanza sijui ni nini kinakufurahisha hadi unachekacheka hovyo
Hivi nyie wasomi uchwara.Nani aliyewaambia heshima inafosiwa.Nyie kima mnatakiwa mlete ugunduzi wa maana ndio tutawaheshimu.

Sasa mmejazana hapo Mazimbu pumbavu zenu,hakuna kitu mnatatua hata mbolea tunanunua nje.Agrovet ndio kitu pekee SUA inatengeneza.

Wasomi wote wa SUA wanaandaliwa kwa miaka3 mpaka 4 kuja kuwa wauzaji wa AGROVET🀣🀣🀣.

Watu wadar wanasema AIBU UTAONA WEWE,KWA USOMI WENU HUO, HII AIBU NAONA MIMI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…