degree requirements kupitia tcu

degree requirements kupitia tcu

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari wakuu. Nlikuwa nataka kujua requirements ambazo TCU imeweka kwa wanaotaka kujiunga degree kutokea diploma, nikimaanisha GPA ngapi?
 
Download TCU GUIDE BOOK usome mwenyewe,Usipende taarifa za kupewa pewa wakati una Access na Mtandao,au we Mtandao unautumia kwa Matumizi ya Facebook tu? siku izi mambo yamerahisishwa Issue nyingi zinapatikana kwenye Mtandao sawa?
 
Back
Top Bottom