C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Oct 12, 2013 #1 Habari wakuu. Nlikuwa nataka kujua requirements ambazo TCU imeweka kwa wanaotaka kujiunga degree kutokea diploma, nikimaanisha GPA ngapi?
Habari wakuu. Nlikuwa nataka kujua requirements ambazo TCU imeweka kwa wanaotaka kujiunga degree kutokea diploma, nikimaanisha GPA ngapi?
N Ngaramtoni JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 430 Reaction score 61 Oct 12, 2013 #2 2.7 and above
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Oct 12, 2013 Thread starter #3 Asante mkuu!
N New Manase JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 294 Reaction score 39 Oct 14, 2013 #4 Wewe hupitii tcu wewe ni wa nacte unless umeshaisoma digrii
FBY 2013 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 401 Reaction score 90 Oct 15, 2013 #5 Download TCU GUIDE BOOK usome mwenyewe,Usipende taarifa za kupewa pewa wakati una Access na Mtandao,au we Mtandao unautumia kwa Matumizi ya Facebook tu? siku izi mambo yamerahisishwa Issue nyingi zinapatikana kwenye Mtandao sawa?
Download TCU GUIDE BOOK usome mwenyewe,Usipende taarifa za kupewa pewa wakati una Access na Mtandao,au we Mtandao unautumia kwa Matumizi ya Facebook tu? siku izi mambo yamerahisishwa Issue nyingi zinapatikana kwenye Mtandao sawa?