Degree ya Biotechnology and laboratory science inayotolewa sua inahusu nini zaidi

Inahusu ujuzi wa vipimo mbalimbali vya maabara hasahasa vipimo vya DNA.
Ukisoma kozi hiyo unaweza kufanya kazi kazi kwenye maabara za hospitali au polisi kwenye kitengo cha forensic science, maabara za idara ya wanyamapori au mifugo au ofisi ya mkemia mkuu. Vilevile unaweza kufundisha katika level mbalimbali au kuwa mtafiti. Tembelea hapa uone baadhi ya ajira za kozi hiyo Tanzania Government Chemist Laboratory Agency(GCLA).
 
Mkuu mi pia nimechaguliwa hiyo kozi but 4 sure sijui inakuwaje,wana JF kama kuna mtu ana tarifa atumwagie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…