Degree ya Clearing & Forwarding: Help me plz

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
398
Reaction score
331
jaman anaejua kama kuna degree ya clearing and forwading au degree ya shipping management na kama ndio je ni chuo gani?
 
Kwa taarifa za kozi za C&F nenda chuo cha kodi(kipo maeneo ya ITV) na kozi za Shipping nenda Marine Institute (kipo karibu na Azam Marine /Boti)
 
Nenda marinetime ipo karhbu na azam boat au central police
 
thanx diah|z lakin hivyo vyuo mi ninavyojua hivyo vyuo vyote mwisho diploma
 
Kwanini usiende kwenye hivyo vyuo ukawauliza kama wanafahamu wapi unaweza chukua degree badala ya diploma?


=Carla;5494116]thanx diah|z lakin hivyo vyuo mi ninavyojua hivyo vyuo vyote mwisho diploma[/QUOTE]
 
Hakuna degree ya hizo course kwa vyuo vyote hvyo! Mwisho diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…