Degree ya Insurance Tanzania

Degree ya Insurance Tanzania

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Wadau nasalimia kwa jina la Aliyeko juu ya kila kitu na kila jambo.

Naomba ushaur naipataje degree ya masuala ya Bima nikiwa dar. Hasa kwa njia ya non full time studies! Ili nisiathiri utafutaji wa from hand to mouth.

[Kwa maana licha ya kuwa na Nida ya utaifa sijapewa mgawo wowote kwenye pesa za CAG report zilizozagaa]
 
Nenda IFM au UDSM wanayo.
 
nenda IFM pale kagonge bachelor of science in insurance and risk management, miaka hiyo ilikuwa ikiitwa hivyo sijajua kwa sasa.
 
Back
Top Bottom