Degree ya PS and HISTORY

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,425
Reaction score
4,768
Wakuu hebu niambieni umhimu wa course hiii!natolewa na UDSM
 
unakua mwalimu mzuri wa history na civics na Gs.
 
PS ni kifupi cha Political Science yaani Sayansi ya Siasa

Somo la Historia naamini unalifahamu vzr, sina haja ya kuelezea. Kwa hiyo msomi wa PS na History anakuwa mtaalamu wa masuala elimu ya siasa kama vile uchambuzi wa Siasa, nadharia zake, mifumo ya mabunge, mifumo ya utawala n.k na wakati huo huo anakuwa amebobea kwenye historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…