Degree ya SUA pesa yako tu

Acha ujinga, hivi kweli inaingia akilini msomi atangaze dau la Rushwa?.

Mimi nimesoma SUA, naifahamu jamii ya watu wa pale, wanafunzi wengi ni wa kawaida sana kiuchumi, hata wakiambiwa laki mbili, inakuwa tabu!

Anyway! Ila ninachojua ni ndivyo ilivyo mwalimu anaweza kukusaidia kwenye course work tu, kwakuwa haina external examiner! Ila UE mwalimu hana mamlaka nayo kihivyo.

Unajua mshahara wa mwl wa chuo? Ila aweze kurisk kazi yake kwa ki millioni kimoja? Acha upuuzi, acha kupoteza muda kwa kuwachafua waalimu wako.
 
Mleta mada yuko sahihi,ila naona wasuaso wamemuijia juu ili kuficha madudu ya kachuo kao!

Kumbe SUA ni kachuo!.

Anyway! Siwezi kuwatetea waalimu wote wa sua, madudu yapo kila sehemu. Ila tujaribu kuwa fair! Kuna tuhuma nyingine feki.
 

Hizi ni tuhuma nzito sana mkuu. Huwezi kuzutupa kapuni bila hata ya kumpa mtoa mada 'benefit of doubt'.
Ni kweli ameleta hoja zake kiudhaifu na makosa mengi ya kisarufi na kimantiki, ila ni vema ushahidi wake ungeangaliwa na kuchunguzwa, kuna madudu mengine unaweza kudhani hayapo, kumbe yapo......mengine utadhani maigizo.
Mtoa mada, hebu funguka zaidi.....weka ushahidi na facts zaidi.
 
 
Mleta mada yuko sahihi,ila naona wasuaso wamemuijia juu ili kuficha madudu ya kachuo kao!

walikuponda kuhusu UDSM leo zamu yao. Wapi mpiga msuli a.k.a Samiti, ze duduz?
 
mi sikuamin....we nahisi umeliwa kichwa afu ndo unapunguzia maumivu humu!!!!! weka ushaidi hapa.....mbambafu!!!!!
 
Jamani makosa ya kawaida mnakalia vikao kutwa kweli mtia aibu.
Ushahidi upo tena na pesa alikuwa atumiwa kwa m pesa na pia jaribuni kuulizia hapo SUA kwamba hiyo kozi EDM 304 ilifundishwa na nani, hapo utakuwa umepata picha kamili ya mtu huyo
 
Nawe acha kuchafua jina zuri la chuo chetu, kama wewe umepata degree ya kununua hiyo ni yako. Halafu unapotaja kozi moja tu na kuthibitisha sijui ndo "SP yako uliyofanya" na kutuletea jukwaani tukueleweje sisi! Kajipange tena!!!!
 
Ni kitu kinachofanyika katika Vyuo vingi sema ushahidi ni ngumu kuuweka wazi, ila ni vema wahusika wakalichunguza suala hili.
 
Kwani SUA wanatoa degree kwa somo moja tu? mbona hujatoa maelezo ya masomo mengine, je ni EU tu ndio ina conclude ufaulu wa mtu ile system ya course work kuwa na 40% na EU 60% kwa ulishaisha? na kama haujaisha mbona hutuelezi kuwa walifanyaje hiyo course work.
 
muundie tume ya kufanya uchunguzi huyo lecturer,au nenda kwa hosea kamsemee kama ni kweli.na ushahidi unasema unao.
 
kukosea kuandika neno si tatizo na haimaanishi kwamba IQ ya mtu ni ndogo. HApa naweza sema kwamba wewe ndo una IQ ndog kushindwa kumuelewa mtoa mada kile alichokusudia kukisema na kukifikisha kwa jamii. Na si ajabu hata maana ya IQ huijui. :bowl:

  • :nimekataa




 

mkuu sijapinga. Najua Elimu kwasasa imeharibika. Kuna vijana wengi wamepewa jukumu la kufundisha, hawana "ethics" hata kidogo. Hilo lipo kila mahali.

Ila hivi inakuingia akilini msomi mzima atangaze dau la rushwa!... Sitetei kuwa hakuna waalimu wanaokula rushwa! Wapo kuanzia ya Ngono hadi pesa. Ila hakuna mwl mwenye akili timamu anayetangaza rushwa.

Nakumbuka kuna binti mmoja wa kipemba alikuwa ni chakula cha maprof pale Vet, alikuwa anapita kimagumashi. Ila hao maprof walikuwa hawatangazi dau. Akijipeleka analiwa.
 

Haileti maana...wala haina mantiki, mtindo wa kutangaza dau! Ila ingekua vema kama ingechunguzwa, japo kuondoa shaka ndogo iliyokuwepo!
 

Kumbe ndio mana wataalamu feki wamejaa hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…