Degree ya SUA pesa yako tu

Mimi nimemaliza SUA mwaka jana,kwa miaka yangu mitatu niliyokaa chuoni sijawahi kusikia jambo kama kama hili.Maana wakati wa test na mitihani ya mwisho mwa mihula huwa karibu kila mmoja anakuwa anakomaa, watu wanapishana makitaba, ukichelewa tu hupati nafasi hata kwenye vimbweta. labda hii tabia ndiyo imeanza, lakini kama umepika stori hii siyo vizuri kuharibu sifa ya chuo kwenye mitandao ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…