Degree ya Zembwela

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
Inasemekana kuwa kule East Africa Radio na TV Zembwela anakubalika sana kwa kuwa degree yake ya uandishi wa habari kaisomea ughaibuni.

Hivi ni nchi gani wakuu?
 
Inasemekana kuwa kule East Africa Radio na TV Zembwela anakubalika sana kwa kuwa degree yake ya uandishi wa habari kaisomea ughaibuni.

Hivi ni nchi gani wakuu?

Ha ha ha hana lolote degree aitoe wapi mhuni yule ana kipaji tuu cha kuuza maneno
 
Hii nayo n thread? kama ni thread unataka tujadili nn majungu?
 
Zembwe ni mtangazaji maili sana, anatumia sanaa ya ucheshi kufikisha ujumbe mzito kwa hadhira yake huku akiwa hachoshi kumsikiliza.
No kitu kinachowashinda watangazaji wengi pamoja na viongozi.
Kukamata attention ya hadhira yako si kitu rahisi.
Zaidi ni kuwa haogopi kung'olewa meno na kucha, ni sifa ya ziada kuongea ukweli mchungu wahusika wakiwa bado wana dola
 
Elimu mnataka ya nini kama ana kipaji si ndio elimu yake? Christiano ,messi, de lima, zidane,tyson,may weather,tiger wood,beckham hawa ni baadhi ya watu wachache waliofanikiwa katika fani zao na kupewa tuzo kubwa bila kuwa na degree za kuunga unga.na unaona katika fani zao wanatumia akili zaidi.
 
Elimu sio kigezo cha utendaji kazi bora.Kwa taarifa yenu viongozi au watendaji wote wasiokuwa na elimu ndio wamekuwa thé best-performer while those who went to school ni wababaishaji and a very good power abusers. Wezi wote wa escrow, meremeta, tan gold, eppa ni wasomi wakubwa.Kujadili elimu ya mtu badala ya utenda kazi wake sio sawa kabisa.
 
Sinza makaburini school of journalism

Mkuu huu Ni umasikini wa kifikra!, hata ingekuwa Sinza Chooni School of journalism Kama imesajiriwa Na serikali, imeajiri walimu competent Na hawauzi mitihani, maarifa Ni yale yale Kama uliyeenda Harvard
 
Inwezekana huyu mleta mada kwanza nahisi anakaa nyumbani kwao au amepangisha tena uswahilini,ndiyo maana anaona degree kitu cha maana,nataka nimwambie watu wote wliyofanikiwa duniani,kama vile billgate,henry ford,thomas edison,yule jamaa wa facebook hawana degree,wengine hapa tanzania ni kina bakheresa,kwahiyo wewe baki na hiyo degree yako utakufa maskini na familia yako,unafikiria mtaani ni sawa na shule,huku moja jumlisha moja sio lazima iwe mbili majibu yako mengi,shuleni jibu ndiyo moja,ukikosa basi na wewe umefeli,ila mtaani majibu ni mengi sana ndiyo maana unakuta watu ambayo hawana elimu za juu wanafanikiwa sana kwasababu wanajiamini
 
Nimeona humu JF watu kuna thread zaidi ya 2 kwa ajili ya kumdiscuss Zembwela personal, hii inadhihirisha kwamba ni mkali na yupo ubongoni mwenu!
 
"Great minds discuss
ideas; average minds
discuss events; small
minds discuss people." -
Eleanor Roosevelt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…