Chiya Chibi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 484
- 110
Kwa Dunia ya sasa tumeona wenzetu wakisoma "fan" "tofaut tofaut" na kwa kiwango cha degree ama "zaid", ili kurahisisha maisha na kupata fursa "zaid", Je hapa kwetu "fan zip" tatu muhim mtu anaweza kuwa nazo hata kwa kiwango cha Diploma tu..?! Mfano; >Diploma in Clinical medicine (C.O)+Diploma in Bus Adm+ Diploma in Human Res & Mng. Nipe nyingne iwe "ngaz" ya Diploma pekee au degree, Najua ni vema kusoma fan moja mpaka kubobea "zaid lakn" kuwa na "fan tofaut" ni jambo "zur" pia. Nipe tatu "muhum" kwako, "yan" hiyo uliyonayo sasa na nyingine mbili uzipendazo "ngaz" yoyote..
Nadhani degree ya uwaziri ni nzuri. Ama ya u kamanda mkuu wa Polisi wa Mkoa. Na pia ile ya kitengo cha mizani si mbaya.
Bachelor of Ufisadi in Government institutions (BUGI)!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mimi degree nzuri ni Bachelor of Mulugo Presentation in South Africa (B.MPSA) hiyo mkuu ni mpya very marketable kwa sasa tena wahi kabla wengi hawajasoma hiyo
Kwa Dunia ya sasa tumeona wenzetu wakisoma fan tofaut tofaut na kwa kiwango cha degree ama zaid, ili kurahisisha maisha na kupata fursa zaid, Je hapa kwetu fan zip tatu muhim mtu anaweza kuwa nazo hata kwa kiwango cha Diploma tu..?! Mfano; >Diploma in Clinical medicine (C.O)+Diploma in Bus Adm+ Diploma in Human Res & Mng. Nipe nyingne iwe ngaz ya Diploma pekee au degree, Najua ni vema kusoma fan moja mpaka kubobea zaid lakn kuwa na fan tofaut ni jambo zur pia. Nipe tatu muhum kwako, yan hiyo uliyonayo sasa na nyingine mbili uzipendazo ngaz yoyote..