Degree zipi ni nzuri?

Mfumo wetu wa elimu mbovu sana, mpaka mtu anfikia level ya degree badio hajajitambua na anakuja kuuliza degree nzuri. Unpaswa kujitambua unataka kufanya nini na sio kuangalia soko la ajira la leo, soko la ajira hubadilika kama zilivyo bidhaa sokoni. Miaka ya 90's watu wamekimbilia sana kusoma computer science na hatimaye wengi wakijikuta wanafanya kazi za sales au marketing au administration; wamekuja kujikuta kwamba kile walichosoma not applicable now in TZ.
 
Mrisho Gambo angekupa jibu zuri kuliko yote.Tafuta yeye bana.
 
Siku hizi bado watu hawajui wanataka nini? Google and never stop searching your heart for what you want to look for
 
Siku hizi bado watu hawajui
wanataka nini? Google and never stop searching your heart for what you
want to look for

you have kujua who you want to be..na sio what you want...who you want to be?
 
degree ya project planning, management & community development! PPM & CD
 
BA. in daladala conducting (ukonda)
BA.in power window stealing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…