Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Inasadikika kuwa aliyekuwa mshambuliaji raia wa serbia, Dejan Georgijevic yupo mbioni kutimkia nchini misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria) kuungana na aliyekuwa kocha wa simba Zoran Maki.
Vyanzo vya karibu nchini Misri vimenihabarisha kuwa kocha huyo Zoran Maki, anamhusudu sana mshambuliaji huyo na anamuhitaji katika kuiongezea nguvu safu yake ya ushambuliaji kabla ya pazia la ligi kuu nchini misri kufunguliwa. Moja ya malengo ya Al-ittihad alexandria msimu huu ubaotarajiwa kuanza ni kuingia katika nafasi za juu za msimamo wa ligi kuu ya misri ili wahakikishe kuwa wanapata nafasi ya kushiriki mashindano ya shirikisho mwakani.