Dejan Georgijevic mbioni kutikia nchini Misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria)

Prof nab mchukue Dejan azibe nagasi ya makambo.. pale yanga atacheza vizr sana.. dejan anapenda pasi mpenyezo ambazo pale yanga zimejaaa sana kutoka kwa aziz ki bigirimana aucho sure boy na feisal salum..
Ntajaribu kuwashauri akina bankubwa nabi
 
Mkuu unaonaje tukimvuta aje Yanga ? Huyu ni bonge la mchezaji makolo wamejichanganya kumuacha

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaonaje tukimvuta aje Yanga ? Huyu ni bonge la mchezaji makolo wamejichanganya kumuacha

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Pale Yanga mchezaji yoyote yule akienda, atang'ara! Labda Kibu Dennis pekee ndiyo atashindwa kuendana na falasafa ya timu yetu.

Maana mtu anakimbia kimbia tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa! Kwa hii Yanga ya sasa, ataozea benchi bila shaka.
 
Ila yanga kuna misekule mingi sana wanavyoishangiria taarifa ya mzungu kuondoka simba utadhani yule kambole alikuwa anacheza kagera sugar ila wakajikausha Kimya wakawahonga wanahabari mchongo wasizingumzie kabisa ile issue ya kambole maana naamini ile ni kubwa kuliko hii kwasababu yeye hakucheza hata mechi moja.
 
Nyie wenye viongozi makini kambole aliwashinda nn kumbakiza estadio the utopolo mpaka mkataka nafasi yake apewe kisinda na kuanza kumlaumu karia wakati mda wake ulishapita
 
10M kwa ajili ya kujiposition mara mikimbio
 
Nyie wenye viongozi makini kambole aliwashinda nn kumbakiza estadio the utopolo mpaka mkataka nafasi yake apewe kisinda na kuanza kumlaumu karia wakati mda wake ulishapita
Ulimuona huyo Kambole akigombana na mchezaji mwenzake kwa kisingizio cha kumnyima pasi uwanjani? Kambole amemalizana na uongozi kwa makubaliano yao wenyewe ya pande mbili. Na kwa sasa yuko zake Wakiso Giants ya Uganda anakula tu mema ya nchi!

Vipi kwa Mlete Mzungu? Huoni kama anarudisha nyuma mipango ya timu? Ona sasa! Timu italazimika kumtegemea mshambuliaji mmoja tu (Moses Phiri)!! Vipi akipata majeraha ya kumuweka nje!! Maana hao washambuliaji wengine waliobaki ni tia maji tia maji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…