Dejan Georgijevic - mchezaji mzungu wa Simba

Dejan Georgijevic - mchezaji mzungu wa Simba

syndicate

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2016
Posts
238
Reaction score
391
Mzungu wa Simba Djan tunatambua fika umekuja Simba ki michongo michongo kutokana na kikosi Cha "NTU WA DILI", Kwa aibu unayotuonyesha wanasimba tafadhali kabla hatujachukua maamuzi magum ya kimkakati, fanya uombe kuvunja mkataba mapema!! Simba Kama watanzania wengine tunateswa na vingi ikiwemo TOZO, VIONGOZI WA SIMBA, WACHEZAJI MAFAZA WANAOKULA MSHAHARA WA BURE SIMBA pamoja na WEWE MZUNGU WA MCHONGO!!


Uzi tayari!!
 
Kiufupi wachezaji wengi Simba wanacheza show game, na wasipobadilika au kocha hasiposhtuka itawacost.
 
Na usikute analipwa kama au zaidi ya Chama.
 
Back
Top Bottom