Kalpana njoo huku wanasema tubadikiahe msemo sasa uwe toa mzunguuuuuNilikuwa namtetea sana huyu Bwana Mkubwa, ila kwa hizi mechi 3 ikiwemo ile aliyofunga nimemfuta.
Mechi ya Al Hilal ovyo,
Mechi ya Leo Ovyo kabisa.
Mchezaji gani anasifiwa mikimbio Kama Usain Bolt tu Lakini hana uelekeo sahihi?
Hakikà ,ni shida ninayoionaKiufupi wachezaji wengi Simba wanacheza show game, na wasipobadilika au kocha hasiposhtuka itawacost.