INAUZWA Deki aina ya Zec inauzwa

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za humu Watanzania Wenzangu? Yamkini wote wazima.

Deki Aina ya Zec inauzwa ipo vizuri haijawahi kuharibika ina miaka miwili sasa toka 2018 August mpaka 2020 leo pia ina remote control yake, Bei ni 36,000 location nipo Musoma Town, nicheki kwa Mawasiliano au WhatsApp messenger no 0674615883 nyote mnakaribishwa kwa Biashara ya chapachap.

 
Dah? Wakuu yani humu ndo napategemea tena lakini ndo shida shida, jamani wakuu nina shida na hela mpaka nilie mbona mnanitenga, nimeamua kuuza Mali yangu cha kwangu ndo kitaniokoa, huku nilipo wateja nimekosa, mnataka niwaombe hela 😭😭😭😞
 
Mkuu sasa wewe ukilia na yule ambaye nyanya ama vitunguu ama matikiti huozea shambani kwa kukosekana wateja afanye nini? Biashara uvumilivu
 
Mkuu sasa wewe ukilia na yule ambaye nyanya ama vitunguu ama matikiti huozea shambani kwa kukosekana wateja afanye nini? Biashara uvumilivu
Basi mkuu mwenye kiasi kidogo anikopeshe mi ntamrudishia kama hakuna mwenye shida na deki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…