FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Wakubwa nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nmekuja hapa kuuliza kwenu juu ya hii kitu inayoitwa DELASKA AGENCY naona watu wanavuna pesa; je uhalisia upoje?
Naona pia nyingine inaitwa IDEABETA naona watu wanaweka laki 2 akikaa week ana toa laki 4?
Je, life imekuwa simple hivi nowdays?