Hata namba zao ni za kawaida hizi,pia namba wanayokupa utume pesa Ina jina la mtuNami kuna mtu ananisumbua sana kujiunga na hii kitu kama wiki tatu zilizopita, na hapa kanitumia ujumbe kunikumbushia juu ya kujiunga ...
Kanuni yangu ni kwamba hakuna pesa ya bure bure kirahisi dunia hii hivyo huwa sishawishiki na vitu kama hivi.
Nawahurumia sana wale wanao amini huko mafanikio yapo kirahisi. ..poleni saana ni suala la muda tuu mtaelewa juu ya hiyo delaska. (Delaska/sakadera sijui)
Watanzania wana akili za nyumbu. Wanapigwa wakikaa wiki mbili wameshasahau, akija mwingine anapiga tena... wanasahau, wanapigwa, wanasahau, wanapigwa......Wahi mapema baadae inakuaga msiba.
Watanzania wana akili za nyumbu. Wanapigwa wakikaa wiki mbili wameshasahau, akija mwingine anapiga tena... wanasahau, wanapigwa, wanasahau, wanapigwa......
Kuna mdogo wangu mmoja niliona kaanza kupost hz mambo baadae akaja kunambia nijiunge nkamjibu ww si ushapata hela nikopeshe hyo elf 13 nijiunge sjamsikia tena mpka muda huu