Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Katika mechi ya England na Slovakia ambapo England ilishinda kwa magoli mawili kwa moja. Mchezaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs Dele Alli ameonekana akionyesha kidole cha kati. Wakati ikidhaniwa kuwa alikuwa akimuonyesha refa wa mchezo huo, amekana na kusema alikuwa akimuonyesha mchezaji mwenzake Kyle Walker.
Dele alilazimika kuomba masamaha kutokana na kitendo hicho. Kupitia ukurasa wake wa Twitter alisema;
Picha za video zinaonyesha kuwa Dele alikuwa akimuonyeshea mchezaji mwenzake na sio refa. lakini kama FIFA wakiona kuwa Alli alikuwa akimuonyeshea kidole hicho refa wa mchezo huo, basi atakuwa kwenye hatari ya kufungiwa mechi tatu. Mechi hizo ni mbili za kufuzu kucheza kombe la Dunia dhidi ya Slovenia and Lithuania na moja fa ufunguzi ya kombe la Dunia kama England anafuzu.
Picha ya TV ikionyesha sehemu alipokuwa kasimama Alli na Walker