Delegation ya Congo yatembelea SGR Kenya

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Hapa naongelea ile Congo nyengine ya Brazaville .

Delegation kubwa ya Congo na ya kutoka kampuni ya CCCC na CRBC zilizojenga SGR kenya zilitembelea Kenya SGR toka Nrb hadi Mombasa na kukagua kila kitu na kuonyeshwa kazi inavyofanyika...
Hii ni kutokana na mpango wa Congo wa kujenga SGR yao na wanataka kutumia Kenya kama model

Minister of Planning Territorial Equipment and Major works in Congo Jean Jaques visits the Port of Mombasa enjoying the ride from Nairobi to Mombasa
No title(312).jpg
No title(316).jpg
No title(315).jpg
No title(313).jpg
No title(314).jpg
No title(317).jpg
 
Wacongo wakitoka hapo itabidi wajiulize maswali, tunataka kurudi nyuma na hii mutungi ya changaa au kwenda mbele na treni za umeme?
 
SAFI itawapa hamasa ya kutaka KUJENGA hiyo aina ya reli.
 
Hizi Congo huwa zinanichanganya, ila waambiwe tumepania kufikisha mzigo DRC halafu na wao wanaweza wakaunga humo, nafikiri hii ramani imekaa poa

sgr-uganda-jpg.535233
 
Wakati huo Pointe-Noire itakua ikifanya kazi gani?
 
Kwikwikwikwikwi. Wakenya bana. Miaka hii wanahaha sana. Mmeshindwa Uganda aliye karibu nanyi sasa hivi mnarukia Congo. How stupid Kenya country is!!!
 
Sasa Mchina ndio anataka kujenga reli ya hao watu wa CONGO unadhani anaweza kumpeleka mteja kwenye kazi ambayo hajafanya yeye?
 
Uganda ndio kitovu chetu chakufikia ukanda wote huo...
Msiwauzi waganda kwa kupeleka treni yenu moja kwa moja South Sudan, mkifanya hivyo tuu, dili lote la kupitia Uganda kwenda kanda ya kati linakufa.
 
Biashara haitaki hasira wala undugu ila maslahi, hili nitakuambia miaka yote hadi JF itakapofungwa utokomee gizani ulikotoka.
Hao Waganda sio kwamba wanatupenda au kutuchukia, sio kwamba tunawapenda au kuwachukia, ila ubadilishanaji wa mihela ndio msingi wa uhusiano wetu na ndivyo ilivyo ukanda wote huu, ukishalitambua hilo utafanya biashara vizuri sana bila stress.
Mambo ya undugu/shikamoo au kushobokeana hayana nafasi kwenye maisha ya leo, labda miaka ile mlikua mnakwenda kufa kwa ajili ya Msumbiji na SA ambao leo hii wanawafukuza Watanzania.
 
Hayo yote ungewaambia serikali yenu maana naona wamesalumu amri kwa Museveni, walijifanya kajanja kwa kuwakatia Uganda dili la kwenda SS lakini Museveni akasema nitawaonyesha kwanini mimi nimekaa kwenye hichi kiti kwa muda mrefu na hakuna wakunitoa. Kenya - SS SGR route imemwagiwa maji kwa hivi sasa.
 
Museveni asikutie wasiwasi tumeishi naye miaka hadi miaka, tangu mlipomwaga damu yenu ili kumpa hayo madaraka, tumeishi naye na huwa tunakula naye taratibu.
 
Back
Top Bottom