Wacongo wakitoka hapo itabidi wajiulize maswali, tunaka kurudi nyuma na hii mutungi ya changaa au kwenda mbele na treni za umeme?
Wakati huo Pointe-Noire itakua ikifanya kazi gani?Hizi Congo huwa zinanichanganya, ila waambiwe tumepania kufikisha mzigo DRC halafu na wao wanaweza wakaunga humo, nafikiri hii ramani imekaa poa
Kwikwikwikwikwi. Wakenya bana. Miaka hii wanahaha sana. Mmeshindwa Uganda aliye karibu nanyi sasa hivi mnarukia Congo. How stupid Kenya country is!!!
Mbona Hii ramani imeelemea Uganda zaidi kuliko Kenya. Au ndio Kenya imeamua kudandia vya waganda ?
Unachekesha dogo. Huwezi ukafanya chochote without ugands. Na issue za congo ni ndoto za mchana.
Mbona Hii ramani imeelemea Uganda zaidi kuliko Kenya. Au ndio Kenya imeamua kudandia vya waganda ?
Msiwauzi waganda kwa kupeleka treni yenu moja kwa moja South Sudan, mkifanya hivyo tuu, dili lote la kupitia Uganda kwenda kanda ya kati linakufa.Uganda ndio kitovu chetu chakufikia ukanda wote huo...
Msiwauzi waganda kwa kupeleka treni yenu moja kwa moja South Sudan, mkifanya hivyo tuu, dili lote la kupitia Uganda kwenda kanda ya kati linakufa.
Hayo yote ungewaambia serikali yenu maana naona wamesalumu amri kwa Museveni, walijifanya kajanja kwa kuwakatia Uganda dili la kwenda SS lakini Museveni akasema nitawaonyesha kwanini mimi nimekaa kwenye hichi kiti kwa muda mrefu na hakuna wakunitoa. Kenya - SS SGR route imemwagiwa maji kwa hivi sasa.Biashara haitaki hasira wala undugu ila maslahi, hili nitakuambia miaka yote hadi JF itakapofungwa utokomee gizani ulikotoka.
Hao Waganda sio kwamba wanatupenda au kutuchukia, sio kwamba tunawapenda au kuwachukia, ila ubadilishanaji wa mihela ndio msingi wa uhusiano wetu na ndivyo ilivyo ukanda wote huu, ukishalitambua hilo utafanya biashara vizuri sana bila stress.
Mambo ya undugu/shikamoo au kushobokeana hayana nafasi kwenye maisha ya leo, labda miaka ile mlikua mnakwenda kufa kwa ajili ya Msumbiji na SA ambao leo hii wanawafukuza Watanzania.
Hayo yote ungewaambia serikali yenu maana naona wamesalumu amri kwa Museveni, walijifanya kajanja kwa kuwakatia Uganda dili la kwenda SS lakini Museveni akasema nitawaonyesha kwanini mimi nimekaa kwenye hichi kiti kwa muda mrefu na hakuna wakunitoa. Kenya - SS SGR route imemwagiwa maji kwa hivi sasa.