Daahhh si nimetuma picha ya manzi yupo uchi kwenye grupu la directors.
Kwa haraka niwahi kufuta nikajikuta ni delete for me badala delete for everyone.
Imebid ni left grupu tuuu
Sorry kwa yaliyokukuta bt unaanzajeX2 kumpga picha za uchi manzi wako ambaye daily unalala Naye,unamgegeda ,una mgeuza na kumkunja unavyotaka dah!!tupunguze ulimbukeni