Delivery Man

Delivery Man

Senior Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
157
Reaction score
107
Hello!
Salaam kwa wadau wote wa Jamiiforums,Napenda nichukue fursa hii adhimu kama mwanachama mpya wa Jamiiforums kuwatakia Heri na fanaka katika Mwaka huu wa 2019.
Hakika Naamini ni kwa neema tu wala sio kwa ujanja wetu,elimu zetu,mali zetu,ubabe wetu,umaarufu wetu katika jamii uliyotuwezesha kuendelea kuvuta hii pumzi bure(pasipo gharama yoyote),Hivyo kila mmoja wetu kwa nafasi yake yatupasa Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema hii.

Nisiwachoshe sana kwa maandiko marefu Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kutuneemesha kwa Neema hii ya Uhai na afya tele,tuendelee kukutana hapa jukwaani katika kufahamiana,kuelemishana,kusaidiana,kufarijiana,na mwisho wa siku tuweze kutimiza malengo yote tuliyojiwekea ambayo yana heri kwetu na jamii kwa ujumla ndani ya mwaka huu 2019.

Asaanteeni sana,ndimi mdau wenu mpya katika Jamiiforums
Delivery Man.
 
karibu sana jamiiforums mkuu..
 
Umejiunga tu umetuchosha hivyo, ukiishazoea itakuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndilo swali
Mkuu umeanza mwaka na id mpya,,, vp ile yazamani bhado utaendelea kuitumia????

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majibu ya "mgeni" yameniacha nasema "Hiiiiiiii"
Ahahaha,Asante ndugu nafurahi umenirahisishia kazi yangu iwapo nitahitaji mnajimu.
Ila usisahau mkuu kupata Wasaa wa kumshukuru Muumba wetu kwa hii Pumzi ya bure Aisee,Kuna viumbe wake wema kabisa inaweza kuwa kuliko mimi na wewe wanainunua kwa gharama kubwa sana mahospitali.
Eti "mgeni" [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…