Dell Inspiron 1525 laptop Inauzwa.

Dell Inspiron 1525 laptop Inauzwa.

Andindile

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Posts
304
Reaction score
17
Dell Inspiron 1525 laptop Inauzwa.

Specification
Storage: Hard disk drive 160 GB
Processor: Intel (R) Pentium (R) Dual CPU T2330 @1.60GHz 1.60GHz
Memory (Ram) 1010MB (1GB)
System Type: 32-bit Operating System

Ina Genuine Operating system (Window Vista TM Hope premium na key yake, na Office 2003, Pia ina Webcum camera, Power DVD kwa ajili ya kuangalizia movie na DVD writer.

Sababu ya kuiuza: Nimepata zawadi ya laptop mpya hivyo sioni sababu ya kubaki na laptop mbili. Laptop ni Nzima na inafanya kazi bila matatizo yoyote. Imetumika kwa mwaka mmoja tu na ilinunuliwa ikiwa mpya kabisa. Mwenye kuitaji bei ya kuanzia ni sh. 750,000 bei ya mwisho ni sh. 700,000. Muhitaji makini anaweza kupiga simu no. 0754293720 au 0652207604

By Andindilile
 
Ok natafuta Quad processor, hiyo yako inaonekana cha mtoto.Sorry!
 
Mkuu ukubwa ni size gani? ni 17" au 15.5"?
 
hehehe poa ngoja nizichange lakini nina 650000 unaweza nisaidia mkuu>?

Fidel kama una hiyo cash zidhani kama Adindile kama yupo serious anauza hiyo kitu atakupiga chini....umeonyesha you really need it!

BWT....Umemsikia mjasiriamali Kitomari....anadeal nyingi sana za 10%......mkuu vipi hazipandi?
 
sina ufahamu sana juu ya hiyo kitu ila ninahitaji sana wadau naombeni mnifahamishe je itaniafaa
 
hehehe poa ngoja nizichange lakini nina 650000 unaweza nisaidia mkuu>?

Ok Ndugu. Naijua hali ya kitanzania ni ngumu sana. mi nitakuachia kwa hiyo 650,000. Natumai utaweza kwa hapo.
 
Huwa nikisikia dell inspiron naona kizunguzungu! Mkuu hiyo haijakufia kweli unataka kumbambika mtu??? Mi nina dell inspiron 5150 imekufa tangu mwaka jana ipo ndani tu, tulipowasiliana na Dell wamekaa kimya, tulichokuja gundua ni kuwa kulikuwa na defect katika motherboard za Dell inspiron 5150. Kwa hivyo mkuu simshauri mtu kujichomeka kwenye Inspiron ya aina yeyote. Ile guarantee wanaweka ni geresha tu....
 
Nimesema, naiuza kwa vile nimepewa computer nyingine mpya ambayo nimeipata kupitia kwenye programme niliyohudhulia nje ya nchi. Hivyo siuzi kwa vile inadifect ya aina yoyote. Kama ulipata matatizo na hiyo ya kwako haimaniishi kuwa zote zinakuwa na matatizo la hasha. Hata Dell za aina nyingine, toshiba, Hp, au acer kama zimetoka na matatizo kiwandani husumbua.
 
Mkuu nalijua hilo, tupo pamoja, hata mi nashauri uuze mapema kabla haijakufia. Poa mkuu!
 
Safi tu hiyo , naitumia aina hiyo haina shida.kwa bei ya 600,000 hadi 700,000 ni poa kama imetumika kwa mwaka mmoja...
 
Back
Top Bottom