Dell Inspiron Monitor repair

Dell Inspiron Monitor repair

Nicorandil

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
258
Reaction score
749
Habari wakuu,

Poleni na majukumu.
Nimeangusha laptop yangu ya Dell Inspiron 5481 , x64 based pc na kioo kimepasuka. Nimejaribu consultation na fundi ananiambia kioo tu ni 350k hapo bado payment yake.

Hio cost ni kubwa wazee ambao wanafahamu sehemu naeza rekebisha bila kupigwa ushauri please kwa sababu Kariakoo kupigwa ni rahisi.

Asanteni.

IMG-20230403-WA0003.jpg
IMG-20230403-WA0002.jpg
IMG-20230403-WA0001.jpg
IMG-20230403-WA0000.jpg
 
Mbona kioo kizima, hapo imekufa digitizer assume ni touch. Jaribu kuongea nae kama unaweza badili digitizer bila kubadili kioo
 
Kaka nisaidie kwenye bei ya hiyo digitizer au hata bei ya marekebisho asee. Laki tatu na nusu nikiwaza ni pc nyingine jamani.
 
Mimi siuzi mkuu, nakupa tu idea kwamba vyombo vya touchscreen kuna digitizer na Display yenyewe, kwa muonekano hapo Display ni nzima imevunjika tu frontal glass kwa mbele.

Pia vioo vya laptop vinaingiliana unaweza uka downgrade toka touch kuja ambacho sio touch, ama kutoka 4k/Fhd kuja Wxga etc hio inapunguza pia gharama,

Tafuta fundi mzoefu aangalie connector hizo kama anaweza kukusaidia kioo cha bei rahisi.
 
Chief nakuomba inbox
 
Back
Top Bottom