Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 258
- 749
Kaka nisaidie kwenye bei ya hiyo digitizer au hata bei ya marekebisho asee. Laki tatu na nusu nikiwaza ni pc nyingine jamani.Mbona kioo kizima, hapo imekufa digitizer assume ni touch. Jaribu kuongea nae kama unaweza badili digitizer bila kubadili kioo
Mimi siuzi mkuu, nakupa tu idea kwamba vyombo vya touchscreen kuna digitizer na Display yenyewe, kwa muonekano hapo Display ni nzima imevunjika tu frontal glass kwa mbele.Kaka nisaidie kwenye bei ya hiyo digitizer au hata bei ya marekebisho asee. Laki tatu na nusu nikiwaza ni pc nyingine jamani.
Chief nakuomba inboxMimi siuzi mkuu, nakupa tu idea kwamba vyombo vya touchscreen kuna digitizer na Display yenyewe, kwa muonekano hapo Display ni nzima imevunjika tu frontal glass kwa mbele.
Pia vioo vya laptop vinaingiliana unaweza uka downgrade toka touch kuja ambacho sio touch, ama kutoka 4k/Fhd kuja Wxga etc hio inapunguza pia gharama,
Tafuta fundi mzoefu aangalie connector hizo kama anaweza kukusaidia kioo cha bei rahisi.