Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 214
- 81
ndio 950,000/-95,0000
hujalazimishwa kununua na sio used..acha kuropokaDah juzi kuna mtu nimemsindikiza pale Laptop city kanunua kitu kipya kwa 900,000. Sijajua kwanini tununue hiyo used kwa 950,000 labda utuambie kama hiyo mashine ina vitu vya ziada
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
freshMkuu, kapost Facebook huko, hiyo PC fair kabisa mtu anakupa 400k hadi 450k!
nunua cmulaki na nusu pesa mfuko wa shati
hapna mkuu200k mfuko wa shati
kwa hyo unadhan nan hajui computer..usiwe unaropoka ...usidhan watu wote humu hatujui computer..kwa akl yako ukinunua computer unaangalia gpu tu?processor?RAM?HDD?karudie kusoma basics of computer usdhan mm cjasoma computer sci..watch wat u talkKwa specs hizo ni ngumu kuuza kwa 950,000 tena used kwa mtu anayejua computer.
Yangu ina nguvu mara mbili ya hiyo plus dedicated gpu na ilianzia 800,000 ila nilinunua kwa 750,000 mpya.
hiyo labda 240,000ndio 950,000/-
ahh sawa mkuuhiyo labda 240,000
Ni Mpya?Hellw nauza dell laptop.
Specifications:
Intel core i-5 ,5th Generation ,2.2Ghz
500 HDD,8 GB RAM
Windows 10 64 bit
Supports USB/HDMI/Wifi/webcam/ethernet/aux jack
14" HD display
Contacts:0759-124378
Price:950,000/-
View attachment 2148343
View attachment 2148344
View attachment 2148345
View attachment 2148346
Sure, mimi sijaongelea kuhusu kusoma computer bali kuhusu mtu anayejua anachokitafuta kwenye computer.kwa hyo unadhan nan hajui computer..usiwe unaropoka ...usidhan watu wote humu hatujui computer..kwa akl yako ukinunua computer unaangalia gpu tu?processor?RAM?HDD?karudie kusoma basics of computer usdhan mm cjasoma computer sci..watch wat u talk
Acha makasiriko, tuambie kwanini tununue kwa hiyo beihujalazimishwa kununua na sio used..acha kuropoka