dell laptop latitude E5420 brand new for sale!!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
2,661
Reaction score
1,267
Ni mpya kabisa but haipo kwenye box,ina windows 7 proffesiional,processor intel core i5 2.6ghz,4gb ram,dvd writer,web cam,bluetooth,wi-fi,500gb hard disk,9cells battery,hdmi port,firewire,esata port,3usb ports,bei laki saba na ishirini,kwa anayeiitaji tuwasiliane kwa namba hizi 0713-535430,0787-535430,0756-143722 na 0778-535430!!!Pia ina finger print!!!
 
mh. natamani ningeipata ila mfuko wangu umetoboka, naweza kulipa laki 4 nanusu tu.
All the best
 

box lake lipo wapi? isije kuwa imepigwa hapa mtaani
 
box lake lipo wapi? isije kuwa imepigwa hapa mtaani
Inaelekea wewe ni wale washkaji wanaotandikaga mabox kwenye viambaza vya baraza kule kariakoo ifikapo usiku kisha wanapiga mbonji!!!am kidding!!!
 
Nilikuwa nahitaji, lakini mfuko hauruhusu kwa sasa!
 
mh. natamani ningeipata ila mfuko wangu umetoboka, naweza kulipa laki 4 nanusu tu.
All the best
Daa,ndugu yangu hii mashine dukani si chini ya milioni moja na laki sita kama utapata muda nenda katembelee maduka,ila kama unataka ya bei hiyo ipo fujitsu siemens lakini ni used!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…