Computer4Sale DELL laptop nzuri E6530 inauzwa kwa bei nafuu

Computer4Sale DELL laptop nzuri E6530 inauzwa kwa bei nafuu

Chris wood

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
1,667
Reaction score
5,043
,
 
Attachments

  • 20210204_105211.jpg
    20210204_105211.jpg
    43.2 KB · Views: 1
  • 20210204_102309.jpg
    20210204_102309.jpg
    48.2 KB · Views: 1
  • 20210204_102328.jpg
    20210204_102328.jpg
    62 KB · Views: 1
  • 20210204_113718.jpg
    20210204_113718.jpg
    39.2 KB · Views: 1
Weka specifications.Nenda my computer halafu properties halafu screenshot/piga picha na uweke hapa.
 
Wateja wengi wa mbali imekuwa ngumu kufanya nao biashara especially wa dar kwani wanakosa mtu wakuja kukagua mzigo
 
Betri masaa 6? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha uongo mkuu hata mpya hazikai na charge muda mrefu hvy
 
Betri masaa 6? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha uongo mkuu hata mpya hazikai na charge muda mrefu hvy
Kweli mkuu, tena kama matumizi yako ya kunyata nyata ni zaidi ya hapo
 
Ungekuwa Dar ningekupa 200K niigeuze kuwa kitunza data ingawaje HDD yake ni ndogo sana!
 
Hii PC bei ya mwisho ngapi na inatatizo lolote?
PC haina dosali ya aina yoyote kila kitu kiko sawa kama unavyoiona hapo, Hata video yake naweza kukutumia,
Kuhusu bei ya mwisho 250,000. Kama uko mwanza tunaweza unana hata kesho tufanye biashara
 
Ungekuwa Dar ningekupa 200K niigeuze kuwa kitunza data ingawaje HDD yake ni ndogo sana!
Ongeze ongeza mkuu hata kidogo ipatikane hata ya usafiri tufanye biashara
 
PC haina dosali ya aina yoyote kila kitu kiko sawa kama unavyoiona hapo, Hata video yake naweza kukutumia,
Kuhusu bei ya mwisho 250,000. Kama uko mwanza tunaweza unana hata kesho tufanye biashara
Oky kesho nitakutafuta tuongee vizuri ikiwezekana tufanye biashara
 
Back
Top Bottom