Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Iko chini sana mkuu.chukua laki 1 mkuu niko dar
Ngoja tusubiri mrejeshoWeka specifications.Nenda my computer halafu properties halafu screenshot/piga picha na uweke hapa.
Mzigo bado upoBado ipo?
Kweli mkuu, tena kama matumizi yako ya kunyata nyata ni zaidi ya hapoBetri masaa 6? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha uongo mkuu hata mpya hazikai na charge muda mrefu hvy
PC haina dosali ya aina yoyote kila kitu kiko sawa kama unavyoiona hapo, Hata video yake naweza kukutumia,Hii PC bei ya mwisho ngapi na inatatizo lolote?
Ongeze ongeza mkuu hata kidogo ipatikane hata ya usafiri tufanye biasharaUngekuwa Dar ningekupa 200K niigeuze kuwa kitunza data ingawaje HDD yake ni ndogo sana!
Nina 500 GB HDD Toshiba, Nipe dau.Ungekuwa Dar ningekupa 200K niigeuze kuwa kitunza data ingawaje HDD yake ni ndogo sana!
Hiyo pesa ni nyingi ndugu, ila haitoshi iko chini asubuhi kuna jamaa wa chuo kanibembeleza kwa 150 nikagoma, kama isingelikuwa shida ningeshali muuziaMkuu chukua laki moja na nusu nije niichukue kama hutojali
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Oky kesho nitakutafuta tuongee vizuri ikiwezekana tufanye biasharaPC haina dosali ya aina yoyote kila kitu kiko sawa kama unavyoiona hapo, Hata video yake naweza kukutumia,
Kuhusu bei ya mwisho 250,000. Kama uko mwanza tunaweza unana hata kesho tufanye biashara
KaribuOky kesho nitakutafuta tuongee vizuri ikiwezekana tufanye biashara